Nehodí sa? Žiadny problém! U nás môžete do 30 dní vrátiť
S darčekovým poukazom nešliapnete vedľa. Obdarovaný si za darčekový poukaz môže vybrať čokoľvek z našej ponuky.
Kila mtu humpenda mama yake licha ya umri wao. Katika hadithi hii, sungura watatu Jimmy na kaka zake wakubwa walijaribu kutafuta zawadi bora ya mama yao katika siku yake ya kuzaliwa. Wanataka kuonyesha jinsi wanavyompenda.Je walibuni suluhisho gani kuonyesha hisia zao? Utajifunza haya yote katika kitabu hiki cha Watoto.Kitabu hiki ni mkusanyiko wa hadithi fupi za wakati wa kulalaHadithi hii inaweza kuwa bora kwa ajili ya kusomea watoto wakati wa kulala na familia nzima.