Free delivery for purchases over 59.99 €
Slovak post 4.49 SPS courier 4.99 Packeta courier 4.99 Packeta point 2.99 SPS Parcel Shop 2.99

Tiba Za Kinyumbani Za Kitamaduni

Language SwahiliSwahili
E-book Adobe ePub
Publishers Tektime, August 2023
Tangu awali mbele zaidi ya ‘taaluma ya matibabu’ kuwa ya kutegemewa hata kwa njia kidogo ukilinganis... Full description
? points 9 b
3.68
In stock Immediate digital delivery

Tangu awali mbele zaidi ya ‘taaluma ya matibabu’ kuwa ya kutegemewa hata kwa njia kidogo ukilinganisha na ilivyo leo, binadamu alitegemea matibabu ya mitishamba. Watu wengi walikuwa na maarifa kidogo ya uwezo wa mimea iliyokua karibu na makao yao, na wanawake wakongwe ndio walielewa faida za mimea hii zaidi ya watu wengine wote. Wanawake hawa mara nyingi wanajulikana kama wenye busara. Ijapokuwa, wao ndio baadaye waliteswa na makanisa yaliyoimarika wakichukuliwa kuwa wachawi. Watu waliokuwa na maarifa ya hali ya juu kuhusu mimea ya maeneo yao walitegemewa sana na jamii, na waliokuwa na uwezo zaidi wangeagiza mitishamba kutoka kwa maeneo ya mbali zaidi. Maarifa hii haijapotea, walakini ni wanaume na wanawake wachache wa kisasa walio nayo, tofauti na vizazi vya wazazi na mababu zao. Inaweza semekana ya kwamba maarifa haya yanafifia.Ninatumai ya kwamba utayaona maarifa yaliyomo kuwa ya manufaa. Tangu awali mbele zaidi ya ‘taaluma ya matibabu’ kuwa ya kutegemewa hata kwa njia kidogo ukilinganisha na ilivyo leo, binadamu alitegemea matibabu ya mitishamba. Watu wengi walikuwa na maarifa kidogo ya uwezo wa mimea iliyokua karibu na makao yao, na wanawake wakongwe ndio walielewa faida za mimea hii, zaidi ya watu wengine wote. Wanawake hawa mara nyingi wanajulikana kama wenye busara. Ijapokuwa, wao ndio baadaye waliteswa na makanisa yaliyoimarika wakichukuliwa kuwa wachawi. Watu waliokuwa na maarifa ya hali ya juu kuhusu mimea ya maeneo yao walitegemewa sana na jamii, na waliokuwa na uwezo zaidi wangeagiza mitishamba kutoka kwa maeneo ya mbali zaidi. Maarifa hii haijapotea, walakini ni wanaume na wanawake wachache wa kisasa walio nayo, tofauti na vizazi vya wazazi na mababu zao. Inaweza semekana ya kwamba maarifa haya yanafifia. Hata hivyo, pamekuwa na ufufuo wa hamu ya kujua matibabu ya kale, mara nyingi inayojulikana kama tiba za kitamaduni, tiba mbadala au tiba ya asili. Kuna sababu nyingi za jambo hili. Baadhi yake yaweza kuwa kupotea kwa uaminifu wa mfumo ulioko na kutoamini watangazaji; bei ya juu ya madawa ya kisasa; ugumu ambao unaongezeka wa kuweza kutembelea daktari; athari zinayotokana na nguvu ya madawa ya kemikali; na pia kuongezeka kwa hamu ya kurudi kwa maisha isiotegemea kemikali sana. Bila kujali sababu yako ya kupendezwa na mada hii, natumaini ya kwamba utafurahia kijitabu hiki. Maandishi ya kitabu hiki cha mtandao kuhusu namna mbalimbali za tiba za kinyumbani za kitamaduni na mawazo hanayohusiana, kimepangwa kwa sura 19 za takriban maneno 500-600 kila sura.

About the book

Full name Tiba Za Kinyumbani Za Kitamaduni
Language Swahili
Binding E-book - Adobe ePub
Date of issue 2023
Number of pages 66
EAN 9788835454960
Libristo code 45066157
Publishers Tektime
Give this book today
It's easy
1 Add to cart and choose Deliver as present at the checkout 2 We'll send you a voucher 3 The book will arrive at the recipient's address

Login

Log in to your account. Don't have a Libristo account? Create one now!

 
mandatory
mandatory

Don’t have an account? Discover the benefits of having a Libristo account!

With a Libristo account, you'll have everything under control.

Create a Libristo account